Health and body in Swahili

ENGLISH_____________ KISWAHILI
How are you feeling?............. Unaskiaje?

I'm not feeling well ...........Siskii vizuri

I have a cold.............. Nina homa

My head aches.......... Naumwa na kichwa

Is this drinking water?.................... Hii ni maji ya kunywa?


Give me water……………………….Nisaidie na maji ya kunywa

What happened?.............. Nini ilifanyika

I was bitten by a mosquito............... Niliumwa na mbu


Head ............Kichwa

Ear ..............Maskio

Mouth.............. Mdomo

Eye............. Jicho

Shoulder.............. Mabega

Heart..............Roho

Chest............... Kifua

Stomach............ Tumbo

Back .............Mgongo

Leg............. Mguu